Swali: Muulizaji kutoka Amerika, katika miji ya kimagharibi kuna matatizo mengi baina ya mume na mke, mfano wa hilo kuna mtu alimuhama mke wake kwa sababu ya kutomtii?

Jibu: Matatizo ya watu hayatotatulika isipokuwa kwa Uislamu. Watu wakishikamana na Uislamu watapata suluhu ya matatizo yao. Hakuna suluhu isipokuwa ni Uislamu. Kuhusiana na waislamu tunawanasihi warejee kwa wanachuoni katika kutatua masuala mbali mbali mpaka hapo matatizo yao yatatatulika kwa idhini ya Allaah.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.olamayemen.net/Default_ar.aspx?ID=556
  • Imechapishwa: 22/09/2020