Baadhi ya sifa zinazopasa kuwa na mke mtarajiwa

Swali: Ipi nasaha zako kwa anayeoa kwa wale wasiyo katika jamii yake ambapo anaishi, mwanamke kutoka magharibi kwa mfano?

Jibu: Ndugu yetu anatakiwa kuoa mwanamke muislamu, mwema, mtiifu, mwenye msimamo, atakayekusaidia katika mambo ya dini yako.

Check Also

Mwanamke hana Adhaana wala Iqaamah

Swali: Ikiwa ataadhini mwanamke nyumbani kwake, au mwalimu mwanamke madrasani kwake… Jibu: Hakuna adhaana kwa mwanamke. …