Swali: Una nasaha yoyote kuwapa wana wako Ufaransa kwa jumla na khaswa wasimamizi wa misikiti?
Jibu: Tunamuomba Allaah wao na sisi atujaalie kuitambua haki na kuwa na thabati juu yake. Tunawanasihi kujifunza elimu yenye manufaa kwa wanachuoni waaminifu walio na ´Aqiydah sahihi. Wajifunze na wafunze. Wajifunze elimu kisha wawafunze nayo watu wao. Hii ndio njia ya uokovu kwa watu wote. Ni jambo lina ujira mkubwa na ni kheri kubwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir-ayat-qrran-19-07-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 20/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)