Nasaha kwa mwanafunzi mpya: shikamana na wanachuoni

Swali: Mimi nimeanza kutafuta elimu. Unaninasihi nini?

Jibu: Shikamana na wanachuoni. Soma chini ya wanachuoni kwenye masomo au Misikitini. Soma kwa wanachuoni waaminifu ambao wanajulikana kwa elimu yao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14340324.mp3
  • Imechapishwa: 27/06/2015