Operesheni ya plastiki baada ya kuchomeka na moto

Swali: Mkono wangu umeunguwa na siwezi kupata kazi mpaka nifanya operesheni ya plastiki kwenye mkono. Je, inajuzu kufanya hivo?

Jibu: Ndio. Ni sawa. Ni aina ya matibabu. Ondosha muonekano mbaya hata kama ulikuwa hukusudii kazi. Ondosha muonekano mbaya na aibu ikiwa unaweza na utafuta matibabu. Ni sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14340324.mp3
  • Imechapishwa: 27/06/2015