Swali: Ni nani mwenye haki zaidi ya kumpa mtoto jina, ni mama au baba?
Jibu: Ni baba. Jina ni haki ya baba.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ls–14330811.mp3
- Imechapishwa: 06/10/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Kumchinjia mtoto mchanga na kumpa jina ni haki ya nani?
Swali: Kutoa jina kumpa mtoto ni haki ya mume au mke au wote wawili? Jibu: Kutoa jina kumpa mtoto ni haki ya baba yake. Yeye ndiye anatakiwa kumchagulia jina na kumfanyia ´Aqiyqah kwa kumchinjia. Hii ni haki ya mtoto juu ya baba yake.
In "´Aqiyqah"
14. Mtoto kumpa jina ni haki ya baba
Hakuna tofauti yoyote juu ya kwamba kumpa mtoto jina ni haki ya baba. Mama hana haki yoyote ya kuzozana katika suala hili. Wakizozana basi chaguo la baba ndio lenye kufanya kazi. Kujengea juu ya hili mama asigombane na wala asizozane. Hata hivyo mashauriano kati ya wazazi ni jambo zuri kwa…
In "Tasmiyat-ul-Mawluud"
Nani ana haki zaidi ya kubaki na mtoto?
Swali: Nani ana haki zaidi ya kuangaliwa na mtoto? Baba au mama? Jibu: Hakimu ndiye mwenye kuhukumu. Hakimu ndiye anatakiwa kuendewa ikiwa kuna ugomvi kuhusiana na uangalizi wa mtoto. Lakini kwa jumla, na si kwamba nahukumu juu ya suala maalum, mama ndiye mwenye kumuangalia mtoto mpale pale anapofikia umri wa…
In "Malezi ya watoto"