Swali: Mimi umri wangu ni miaka 33. Ninataka kuoa ila baba yangu ananikataza hilo kwa hoja ya kwamba mimi nafanya baadhi ya maasi kama kuacha swalah na mengineyo. Je, nimkhalifu kwa hilo?

Jibu: Ni lazima kwake kutubu kwa Allaah. Hata kama baba yake hakumwambia kitu, ni juu yake kutubu kwa Allaah na kumcha Allaah (´Azza wa Jall) na kuhifadhi swalah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ls–14330811.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020