Nani mwenye haki zaidi ya kumpa mtoto jina?

Swali: Ni nani mwenye haki zaidi ya kumpa mtoto jina, ni mama au baba?

Jibu: Ni baba. Jina ni haki ya baba.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ls–14330811.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020