Swali: Vipi kuwatolea salamu wasichana wa ami au wasichana wa shangazi?
Jibu: Ni katika ndugu ambao unatakiwa kuwaunga, hata hivyo fanya hivo bila ya kupeana nao mkono wala kuwabusu. Wasalimie kwa maneno tu. Sambamba na hilo wajisitiri na usikae nao faragha.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24201/ما-حكم-السلام-على-بنات-العم-والخالة
- Imechapishwa: 13/09/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket