Swali: Ni ipi hekima ya ´Iysaa kuua nguruwe katika zama za mwisho? Je, mtu aue nguruwe katika zama hizi?

Jibu: Allaah ndiye anayejua siri ya hilo ili kubainisha kuwa ameharamishwa kwao na kwamba wao wamemuhalalisha pasi na haki.  Ni kama ambavo wamehalalisha msalaba.

Swali: Je, inafaa kumuua nguruwe?

Jibu: Ndio, anauliwa. Ni haramu kwa andiko la Qur-aan, Sunnah na maafikiano ya waislamu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24199/الحكمة-من-قتل-عيسى-عليه-السلام-للخنزير
  • Imechapishwa: 13/09/2024