Swali: Makatazo ya kutukana zama ni kwa sababu kunapingana na mipango na makadirio ya Allaah?

Jibu: Bora – na Allaah ndiye mjuzi zaidi – ni kutukana kisichostahiki kutukanywa. Hakina uendeshaji. Ni kutukana kisichostahiki kutukanywa. Kwa hiyo inamrejelea ambaye anaiongoza na kuiendesha (Subhaanahu wa Ta´ala). Ingawa kama inavyotambulika sivyo alivyokusudia mtukanaji. Hata hivyo ni utovu wa adabu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24209/الحكمة-من-النهي-عن-سب-الدهر
  • Imechapishwa: 13/09/2024