Namna mwanamke anamzindua imamu anayekosea ndani ya swalah

Swali: Baadhi ya wanawake wanapotaka kupiga makofi ndani ya swalah wanapiga kwa mikono yao juu ya mapaja yao na wanaona uzito kupiga kwa viganja vyao?

Jibu: Hapana, Sunnah ni kupiga kiganja juu ya kiganja. Huku ndio kupiga makofi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23736/امراة-تتحرج-من-التصفيق-بالكفين-في-الصلاة
  • Imechapishwa: 16/04/2024