Namna hii ndio aliwafunza Maswahabah

Swali: Maneno yake ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa):

السلام عليك أيها النبي و رحمة الله و بركاته

“Amani, rehema na baraka za Allaah ziwe juu yako, ee Mtume!”

ilikuwa ni katika uhai wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Sahihi ni kwamba ni kama ambavo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwafunza Maswahabah zake:

السلام عليك أيها النبي و رحمة الله و بركاته

“Amani, rehema na baraka za Allaah ziwe juu yako, ee Mtume!”

Aliwafunza Maswahabah namna hii ilihali anajua kuwa anakufa na anajua kuwa wakati mwingine wanakuwa mbali naye.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23781/ما-الصواب-في-صيغة-السلام-في-التشهد
  • Imechapishwa: 27/04/2024