Nadhiri ya kufunga zaidi ya siku moja bila kufungua

Swali 637: Nini hukumu ya mtu aliyeweka nadhiri ya kuendelea kufunga bila ya kufungua?

Jibu: Atatoa kafara ya kiapo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 225
  • Imechapishwa: 17/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´