Swali 638: Vipi ikiwa mtu atasema ”Nalazimika kufunga daima au kufunga mwaka mzima?”
Jibu: Hii ni nadhiri inayochukiza. Kwa hivyo inampasa kutoa kafara ya kiapo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 225
- Imechapishwa: 17/06/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 638: Vipi ikiwa mtu atasema ”Nalazimika kufunga daima au kufunga mwaka mzima?”
Jibu: Hii ni nadhiri inayochukiza. Kwa hivyo inampasa kutoa kafara ya kiapo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 225
Imechapishwa: 17/06/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/utekelezaji-wa-nadhiri-ya-kufunga-mwaka-mzima/