Mtu ale katika nadhiri yake ya kichinjwa cha Udhhiyah au ´Aqiyqah?

636 – Nilimuuliza kuhusu mtu aliyeweka nadhiri ya kuchinja Udhhiyah. Je, ale humo?

Jibu: Ndio, kama ilivyo Sunnah. Kadhalika kama ataweka nadhiri ya ´Aqiyqah ale humo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 225
  • Imechapishwa: 17/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´