Mzuie mwanamke anayejitia manukato wakati wa kutoka nyumbani

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kutumia manukato ikiwa hatapita katika mkusanyiko wa wanamme bali anaenda moja kwa moja katika maeneo ya wanawake ni mamoja anaenda msikitini au kwengine?

Jibu: Haifai kwake kufanya hivo. Bali anatakiwa kutoka nje kama ilivyopokelewa katika Hadiyth:

“Watoke pasi na kujitia manukato.”

Akijitia manukato basi azuiwe kutoka nje.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (21)
  • Imechapishwa: 28/08/2021