Swali: Mamangu ananikatalia kwenda kuwatembelea baadhi ya ndugu zangu na ananambia kuwa nikienda kuwatembelea hatonisamehe. Nifanye nini?
Jibu: Usimtii katika hili. Nenda ukawatembelee ndugu zako na uwaunge ndugu zako. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Hakuna utiifu kwa kiumbe katika kumuasi Muumba.”
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
- Imechapishwa: 21/06/2020
Swali: Mamangu ananikatalia kwenda kuwatembelea baadhi ya ndugu zangu na ananambia kuwa nikienda kuwatembelea hatonisamehe. Nifanye nini?
Jibu: Usimtii katika hili. Nenda ukawatembelee ndugu zako na uwaunge ndugu zako. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Hakuna utiifu kwa kiumbe katika kumuasi Muumba.”
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
Imechapishwa: 21/06/2020
https://firqatunnajia.com/mzazi-hataki-mtoto-aende-kuwatembelea-nduguze/