Swali: Je, inajuzu kwa mtu kuomba kwa du´aa hii “Ee Allaah! Usininyime uombezi wa watu wema siku ya Qiyaamah” au akakhusisha kwa kusema “Ee Allaah! Usininyime uombezi wa mwanachuoni fulani siku ya Qiyaamah?”
Jibu: Aombe kutoka kwa Allaah ampe uombezi wa Mtume. Ikiwa anataka kuomba kutoka kwa kiumbe basi amuombe Allaah ampe uombezi wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (01) http://alfawzan.af.org.sa/node/2104
- Imechapishwa: 28/06/2020
Swali: Je, inajuzu kwa mtu kuomba kwa du´aa hii “Ee Allaah! Usininyime uombezi wa watu wema siku ya Qiyaamah” au akakhusisha kwa kusema “Ee Allaah! Usininyime uombezi wa mwanachuoni fulani siku ya Qiyaamah?”
Jibu: Aombe kutoka kwa Allaah ampe uombezi wa Mtume. Ikiwa anataka kuomba kutoka kwa kiumbe basi amuombe Allaah ampe uombezi wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (01) http://alfawzan.af.org.sa/node/2104
Imechapishwa: 28/06/2020
https://firqatunnajia.com/mwombe-allaah-akupe-uombezi-wa-mtume-wake-%e2%80%82/