Swali: Je, inajuzu kuwaita baadhi ya watu wema ´Aarif billaah (العارف بالله), wenye kumjua Allaah?
Jibu: Huku ni kumfuagilia mtu. Mara nyingi yanakuwa kwa Suufiyyah. Haya ni matamshi ya Suufiyyah kusema wenye kumjua Allaah na kadhalika.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (01) http://alfawzan.af.org.sa/node/2104
- Imechapishwa: 28/06/2020
Swali: Je, inajuzu kuwaita baadhi ya watu wema ´Aarif billaah (العارف بالله), wenye kumjua Allaah?
Jibu: Huku ni kumfuagilia mtu. Mara nyingi yanakuwa kwa Suufiyyah. Haya ni matamshi ya Suufiyyah kusema wenye kumjua Allaah na kadhalika.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (01) http://alfawzan.af.org.sa/node/2104
Imechapishwa: 28/06/2020
https://firqatunnajia.com/suufiyyah-ndio-husema-mtambuzi-wa-allaah/