Swali: Mwombaji akiniomba pesa ni wajibu kwangu kumpa?

Jibu: Ndio, akikuomba ni wajibu kwako kumpa. Mpe kila unachoweza hata kama kitakuwa ni kidogo. Ikiwa huna angalau mwambie maneno mazuri na kumuombea du´aa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (74) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-28.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020