Swali: Nina rafiki ambaye ni Suufiy. Ni ipi njia sahihi ya kumuwekea wazi mfumo sahihi?

Jibu: Mnasihi na umzawadie vitabu ambavyo ndani yake vimeraddi Taswawwuf na makosa ya Suufiyyah. Mzawadie navyo na umnasihi pengine Allaah akamwongoza. Mbainishie Sunnah na mfumo wa Mtume, Maswahabah zake na wenye kufuata mfumo wa Salaf-us-Swaalih.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (74) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-28.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020