Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke asiyekuwa na nywele kuvaa baruka?
Jibu: Huku ni katika kuunganisha nywele. Linaingia katika kuunganisha nywele jambo ambalo amelaaniwa mwenye kufanya hivo. Ikiwa hana nywele ima ajitibishe ziote au afunike kichwa chake na mtandio na hivyo haitojulikana kuwa hana nywele.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-25.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke asiyekuwa na nywele kuvaa baruka?
Jibu: Huku ni katika kuunganisha nywele. Linaingia katika kuunganisha nywele jambo ambalo amelaaniwa mwenye kufanya hivo. Ikiwa hana nywele ima ajitibishe ziote au afunike kichwa chake na mtandio na hivyo haitojulikana kuwa hana nywele.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-25.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/mwenye-kuvaa-baruka-amelaaniwa/