Mwenye kuokota kitu kidogo ni lazima akitangaze mwaka mzima?

Swali: Nikiokota riyaal moja, mbili au tatu inafaa kwangu kuzichukua?

Jibu: Ndio. Kitu kidogo kinaanguka. Wanachuoni wamesema ni kama mfano wa yai, kamba, riyaal mbili, tatu au tano. Hiki kichukue na wala usikitangaze.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 06/01/2019