Swali: Je, inafaa kwa mwenye janaba kusoma vitabu vya elimu?
Jibu: Ndio, isipokuwa Qur-aan tu. Asome vitabu vya tafsiri [ya Qur-aan], vitabu vya Hadiyth na vitabu vya Fiqh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21712/هل-يجوز-للجنب-قراءة-التفاسير-وكتب-العلم
- Imechapishwa: 24/09/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)