Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kufanya kazi katika masomo yenye mchanganyiko?

Jibu: Mwenye kuacha kitu kwa ajili ya Allaah basi Allaah humpa badala bora kuliko hiyo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Waqafaat ma´aa Hadiyth tatadaa´ alaykum-ul-Umamu https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-09/wgfaaat.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2022