Studio zinazouza kaseti za muziki katika nyumba za waislamu

Swali: Ni ipi hukumu ya kumkodishia duka mtu ambaye anauza kaseti za nyimbo?

Jibu: Haijuzu kumkodishia. Huku ni kusaidia katika dhambi na uadui.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Min Swifaat-il-Mu´miniyn https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-09/s_0.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2022