Swali: Pindi Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipofanya mweleka na Rukaanah alimuwekea (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) Rukaanah kuingia katika Uislamu endapo atamshinda. Je, si inazingatiwa…

Jibu: Ni aina fulani ya ulinganizi. Malengo haikuwa kutaka pesa na zawadi. Huku ni kulingania kwa Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
  • Imechapishwa: 12/03/2022