Swali: Je, ni haramu kwa mwanaume kujifananisha na wanawake ilihali anafanya mzaha kama kwa mfano mwanaume akavaa Hijaab kwa lengo la kuwachekesha marafiki zake?
Jibu: Haijuzu kufanya hivi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amewalaani wanaume wenye kujifananisha na wanawake na wanawake wenye kujifananisha na wanaume. Ni mamoja ikiwa ni kwa kufanya mzaha au kutofanya mzaha. Haijuzu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2120
- Imechapishwa: 09/07/2020
Swali: Je, ni haramu kwa mwanaume kujifananisha na wanawake ilihali anafanya mzaha kama kwa mfano mwanaume akavaa Hijaab kwa lengo la kuwachekesha marafiki zake?
Jibu: Haijuzu kufanya hivi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amewalaani wanaume wenye kujifananisha na wanawake na wanawake wenye kujifananisha na wanaume. Ni mamoja ikiwa ni kwa kufanya mzaha au kutofanya mzaha. Haijuzu.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2120
Imechapishwa: 09/07/2020
https://firqatunnajia.com/mwanaume-kuvaa-hijaab-kwa-ajili-ya-mzaha/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)