Swali: Sujuud ya kushukuru inajuzu makaburini?

Jibu: Hapana, makaburini sio mahali pa kusujudu, kuomba du´aa na kuswali. Kwa sababu kufanya mambo haya yanapelekea katika shirki. Ikiwa analisujudia kaburi ni shirki kubwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2120
  • Imechapishwa: 09/07/2020