Swali: Kuna mwanamke ni katika Ahl-us-Sunnah. Anataka kuolewa na mwanaume ambaye yuko na Bid´ah. Mwanamke huyo hafanyi hizo Bid´ah zake ila anasema kuwa huenda akakubali haki. Je, anaweza kuolewa naye na ni ipi hukumu ya kuhudhuria ndoa hii?
Jibu: Mtu anayeitendea kazi Sunnah haolewi na mtu wa Bid´ah. Kwa kuwa atamuathiri yeye na watoto wake. Isipokuwa ikiwa kama atatubu. Akitubu kabla ya ndoa na akaacha Bid´ah, Tawbah ambayo ni ya kweli kabisa, hakuna neno.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mntq–14340427.mp3
- Imechapishwa: 19/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)