Imamu kutoleta Sujuud-ut-Tilaawah

Swali: Mimi ni Imamu wa Msikiti na inatokea mara nyingi ninapitia Aayah ambazo zina Sajda ila sisujudu wakati wa Swalah. Je, juu yangu kuna kitu kwa hilo?

Jibu: Hapana. Sujuud-ut-Tilaawah ni Sunnah. Ukiiacha huna juu yako kitu.

Check Also

Sujuud ya kisomo nje ya swalah pamoja na msomaji

Swali: Kuhusu sujudu ya kisomo nje ya swalah wakati tunaposoma Qur-aan tukiwa kundi – je, …