Swali: Mwanamke akiwa na hedhi inajuzu kwake kusoma Qur-aan au tafsiri ya Qur-aan?
Jibu: Hakuna neno akasoma tafsiri ya Qur-aan. Ama Qur-aan asisome maadamu yuko na hedhi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/12537
- Imechapishwa: 24/09/2020
Swali: Mwanamke akiwa na hedhi inajuzu kwake kusoma Qur-aan au tafsiri ya Qur-aan?
Jibu: Hakuna neno akasoma tafsiri ya Qur-aan. Ama Qur-aan asisome maadamu yuko na hedhi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/12537
Imechapishwa: 24/09/2020
https://firqatunnajia.com/mwanamke-ndani-ya-hedhi-kusoma-tafsiri-ya-qur-aan/