Swali: Mwanamke huyu anasema kuwa yeye ametalikiwa talaka ya tatu. Je, inajuzu kwake kutoka na familia yake kwa ajili ya haja zake na kwenda kutembea au ni lazima kwake kubaki nyumbani?
Jibu: Hapana. Talaka ya tatu [ya mume] aliehai, habaki nyumbani kwake. Anaenda katika haja zake. Hili linahusiana na aliyefiliwa, yeye ndiye anatakiwa kubaki nyumbani. Ama talaka ya tatu ya mwanaume aliehai, miongoni mwa sharti za eda yake sio kubakia nyumbani.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fth-mjd-17051435.mp3
- Imechapishwa: 20/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket