Swali: Kuna mwanamke ni Muislamu na hajui lolote juu ya Uislamu na ameenda kuolewa na kafiri. Anauliza hukumu ya ndoa yake?
Jibu: Ndoa yake ni batili. Haijuzu kwa mwanamke muislamu kuolewa na kafiri. Hili ni kwa mujibu wa Qur-aan, Sunnah na Ijmaa´. Ndoa hii ni batili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Kuna mwanamke ni Muislamu na hajui lolote juu ya Uislamu na ameenda kuolewa na kafiri. Anauliza hukumu ya ndoa yake?
Jibu: Ndoa yake ni batili. Haijuzu kwa mwanamke muislamu kuolewa na kafiri. Hili ni kwa mujibu wa Qur-aan, Sunnah na Ijmaa´. Ndoa hii ni batili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/mwanamke-mjinga-ameenda-kuolewa-na-kafiri/