Swali: Muuliza huyu ni kutoka Uingereza anauliza kama inajuzu kwa mke wake kwenda kufunza Qur-aan Tukufu kwenye msikiti wa watu wa Bid´ah, Suufiyyah na Ahnaaf pamoja na kujua kuwa anahisi kuwa imani inaongezeka pindi anapofunza Qur-aan huko?
Jibu: Kufunza Qur-aan ni kulingania katika dini ya Allaah. Kile kitendo chake cha yeye kuwalingania watu wa Bid´ah na wale wenye upindaji, akawafunza Qur-aan na wakati huohuo akawalingania katika dini ya Allaah, akawafasiria Qur-aan na kuwawekea nayo wazi ni katika kulingania katika dini ya Allaah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2136
- Imechapishwa: 11/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)