Mwanamke kuswali swalah ya kuomba mvua nyumbani  

Swali: Je, ni jambo limewekwa kwa mwanamke kuswali Swalaat-ul-Istisqaa´ nyumbani?

Jibu: Hapana. Uhudhurie [msikitini] pamoja na waislamu wengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-30.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020