Swali: Nimehajiri kutoka katika mji wa kikafiri na kwenda mji wa Kiislamu nikiwa peke yangu pasi na mume wala familia. Nimetenzwa nguvu kufanya kazi nje ya nyumbani kwa kuwa hakuna anayenihudumia. Je, inajuzu kwangu kupanga tax peke yangu kwa ajili ya kwenda kazini na kujihudumia mwenyewe?
Jibu: Hapana. Huku ni kuwa faragha. Haijuzu kuwa faragha na mwanaume ambaye sio halali kwako:
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
- Imechapishwa: 16/06/2015
Swali: Nimehajiri kutoka katika mji wa kikafiri na kwenda mji wa Kiislamu nikiwa peke yangu pasi na mume wala familia. Nimetenzwa nguvu kufanya kazi nje ya nyumbani kwa kuwa hakuna anayenihudumia. Je, inajuzu kwangu kupanga tax peke yangu kwa ajili ya kwenda kazini na kujihudumia mwenyewe?
Jibu: Hapana. Huku ni kuwa faragha. Haijuzu kuwa faragha na mwanaume ambaye sio halali kwako:
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
Imechapishwa: 16/06/2015
https://firqatunnajia.com/mwanamke-kupanda-teksi-peke-yake-na-kwenda-kazini__trashed/