Swali: Mwanamke huyu anasema kuwa mume wake anatazama filamu za haramu. Nimemwita katika tawbah na amekariri tendo hili mpaka nimekuwa ninamchukia. Je, inajuzu kwangu kuomba kutengana naye katika hali hii?
Jibu: Ndio. Ikiwa hatubii na anazifuatilia, tendo hili linazingatiwa ni khatari katika heshima yake na heshima ya mke wake. Ukimuomba kutengana naye kwa hakimu, hakimu ndiye ambaye atasimamia hili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fth-mjd-17051435.mp3
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Mwanamke huyu anasema kuwa mume wake anatazama filamu za haramu. Nimemwita katika tawbah na amekariri tendo hili mpaka nimekuwa ninamchukia. Je, inajuzu kwangu kuomba kutengana naye katika hali hii?
Jibu: Ndio. Ikiwa hatubii na anazifuatilia, tendo hili linazingatiwa ni khatari katika heshima yake na heshima ya mke wake. Ukimuomba kutengana naye kwa hakimu, hakimu ndiye ambaye atasimamia hili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fth-mjd-17051435.mp3
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/mwanamke-kuomba-talaka-kwa-mume-anayetazama-filamu-za-haramu/