Swali: Ni yapi maoni yako mwanamke kumnasihi mwanamume kwa njia ya kuamrisha mema na kukataza maovu?
Jibu: Ndio. Mwanamke anatakiwa kunasihi.
|
وَالْمُؤْمِنُونَ وَالْمُؤْمِنَاتُ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ يَأْمُرُونَ بِالْمَعْرُوفِ وَيَنْهَوْنَ عَنِ الْمُنكَرِ |
|
“Na Waumini wanaume na Waumini wanawake nimarafiki walinzi wao kwa wao: wanaamrisha mema na wanakataza maovu.” (09:71) |
Mwanamke na yeye anatakiwa kuamrisha mema na kukataza maovu kama anavofanya mwanaume.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf%204-13-08-1433.mp3
- Imechapishwa: 16/06/2015
Swali: Ni yapi maoni yako mwanamke kumnasihi mwanamume kwa njia ya kuamrisha mema na kukataza maovu?
Jibu: Ndio. Mwanamke anatakiwa kunasihi.
وَالْمُؤْمِنُونَ وَالْمُؤْمِنَاتُ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ يَأْمُرُونَ بِالْمَعْرُوفِ وَيَنْهَوْنَ عَنِ الْمُنكَرِ
“Na Waumini wanaume na Waumini wanawake nimarafiki walinzi wao kwa wao: wanaamrisha mema na wanakataza maovu.” (09:71)
Mwanamke na yeye anatakiwa kuamrisha mema na kukataza maovu kama anavofanya mwanaume.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf%204-13-08-1433.mp3
Imechapishwa: 16/06/2015
https://firqatunnajia.com/mwanamke-kumfanyia-dawah-wanaume__trashed/