Katika hali hii usende harusini

Swali: Tumesoma kuwa kuitikia wito wakati wa ndoa ni wajibu. Katika sherehe hii wakati mwingine kunakuwepo maovu. Tufanye nini?

Jibu: Tulilijibu jana kwa kusema ya kwamba, endapo mtu atajua kuwa sehemu ambapo amealikwa kuna maovu na hawezi kuyazuia asiende na hana juu yake dhambi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf%204-13-08-1433.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2015