Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kujitoa mwenyewe kwa mwanaume ambaye anamuona kuwa ni mwema ili aweze kumuoa au hili ni jambo maalum kufanyiwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?
Jibu: Hili ni jambo zuri. Amtumie mtu na kuzungumza naye ikiwa akiridhia dini yake na tabia yake. Mtu huyo anaweza kuwa walii wake au mwanamke mwenzake. Ni sawa kufanya hivo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-09.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket