Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kusoma Qur-aan kwa njia ya kujifunza na sauti yake ikasikika kwenye redio au kwenye TV ili aweze kujifunza Qur-aan?
Jibu: Ajifunze Qur-aan kwa njia nyingine isiyokuwa hii. Ajifunze Qur-aan nyumbani kwake na kwenye masomo. Kuhusiana na kujifunza Qur-aan kupitia vyombo vya khabari mbele za watu na watu wakasikia, hili ni jambo halina asli. Sauti ya mwanamke ni ´Awrah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (80) ttp://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir_08_03_1433.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket