Swali: Inajuzu kwa mwanamke ambaye kalazimishwa [kuolewa na] mume na familia yake na wala hampendi mume huyu kuomba Talaka?
Jibu: Jambo la kwanza ni kwamba,kuridhia kwa mke kwa mume [atakae kumuoa] ni jambo la lazima. Bali ni sharti ya kusihi kwa ndoa. Na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema:
“Asiozeshwe bikira mpaka aombwe idhini.”
Ikithibiti kweli ya kwamba kalazimishwa na hakuridhia, arejelewe Qadhiy wa Kishari´ah akate hukumu hiyo.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=gTKrzU_2IKY
- Imechapishwa: 22/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)