Mwanamke anatiwa adabu namna hii…

Swali: Kuna mashiko kuadabisha kwa kutoa talaka?

Jibu: Hapana. Kutia adabu inakuwa kwa maneno, nasaha na kipigo chepesi. Kuadabisha kwa kutaliki kunapelekea kutengana kabisa; anaacha mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu mpaka anatengana naye kabisa. Anatakiwa amtie adabu kwa maneno mazuri, nasaha, maelekezo na kipigo chepesi. Amesema (Ta´ala):

وَاللَّاتِي تَخَافُونَ نُشُوزَهُنَّ فَعِظُوهُنَّ وَاهْجُرُوهُنَّ فِي الْمَضَاجِعِ وَاضْرِبُوهُنَّ

“Na wale ambao mnachelea uasi wao wa ndoa, basi wanasihini na wahameni katika malazi na wapigeni.[1]

Huku ndio kutia adabu. Vilevile anaweza kumsusa kwa siku moja, mbili, tatu au amkate zaidi ya siku hizo ikihitajika.

[1] 04:34

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swali: Kuna mashiko kuadabisha kwa kutoa talaka? Jibu: Hapana. Kutia adabu inakuwa kwa maneno, nasaha na kipigo chepesi. Kuadabisha kwa kutaliki kunapelekea kutengana kabisa; anaacha mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu mpaka anatengana naye kabisa. Anatakiwa amtie adabu kwa maneno mazuri, nasaha, maelekezo na kipigo chepesi. Amesema (Ta´ala): وَاللَّاتِي تَخَافُونَ نُشُوزَهُنَّ فَعِظُوهُنَّ وَاهْجُرُوهُنَّ فِي الْمَضَاجِعِ وَاضْرِبُوهُنَّ “Na wale ambao mnachelea uasi wao wa ndoa, basi wanasihini na wahameni katika malazi na wapigeni.”[1] Huku ndio kutia adabu. Vilevile anaweza kumsusa kwa siku moja, mbili, tatu au amkate zaidi ya siku hizo ikihitajika. [1] 04:34
  • Imechapishwa: 24/05/2024