Mwanamke anataka kuolewa na mwanaume anayemshinda hadhi

Swali: Mwanamke amekubali kuolewa na mwanaume ambaye hawaendani naye katika nasaba. Hata hivyo walii wake hakukubali. Je, ndoa inasihi?

Jibu: Ndio. Jambo linarudi kwake yeye. Yeye ndiye mwamuzi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 05/08/2023