Mwanamke anayewaleta wanawake katika darsa

Kuna mwanamke anayelalamika kwamba baadhi ya wanawake wanaleta watoto wao kwenye darsa. Watoto hawa wanacheza na kuwashawishi wanawake wengine. Haifai kufanya hivo. Mwanamke akija katika darsa, basi haijuzu kwake kuwaleta watoto wake kwa sababu wanawaudhi na kuwashawishi wale wanawake wenye kuhudhuria.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 05/08/2023