Mudiri wa kituo cha Kiislamu katika nchi ya kikafiri

Swali: Je, mudiri wa kituo cha Kiislamu katika nchi ya kikafiri ndiye anayekuwa walii wa wanawake wa Kiislamu wanaosilimu?

Jibu: Ndio, mudiri wa kituo ndiye anayechukua jukumu la watawala. Anatakiwa kutekeleza zile hukumu zinazomuhusu mtawala katika nchi ya waislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 05/08/2023