Mwanamke anasomewa Ruqyah bila ya kuguswa

Swali: Inajuzu kwa mwanaume anayemsomea Qur-aan mgonjwa kugusa mwili wa mgonjwa mwanamke kwa mkono wake?

Jibu: Haifai kwake kumgusa mwanamke. Kwa kuwa mwanamke ni ´Awrah. Anaweza kumsomea bila ya kumgusa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=14579
  • Imechapishwa: 05/05/2015