Swali: Je, inafaa kwa mwanamke aliye katika eda kutumia wanja wa antimoni (الإثمد) ikiwa ni kwa lengo la matibabu?
Jibu: Hapana. Matibabu hayakukomeka kwenye antimoni peke yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
- Imechapishwa: 11/05/2023